Ali kiba-cheketua lyrics
Jamaniii mi nataka saule
kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo
Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule
Wanao nitaka ni wengi ila mimi kwako nyang'a nyang'a nyang'a
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Aya chekecha Chekecha
Aya chekecha cheketua cheke chekecha
cheketua cheke chekesha cheketua cheke
chekesha cheketua cheke
Penzi alinipa mama nami leo nakupatia
tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna
Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia
nami ntalia na wewe mimi kwako nyang'a nyang'a nyang'a
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unatakaSiamini yaani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini Aya chekecha Chekecha Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua cheke
lyricschekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke Yeah uuh cheke chekecha aah heyiiii
ConversionConversion EmoticonEmoticon