Baraka de prince

Verse ya kwanza Nitokapo si kutamu, zarau na masengenyo ndio vilitawala! Sikuwa na hamu, Vyote nilipokea na kusema ewalaaa! Hakujua sasa wakumtusi mama, hajauvuka mto! Akajua upole na upendo wangu umeshakosa soko! Daily sikutaka kuamini, yeye ni wa kunitesa mimi! Daily sikutaka kuamini, yeye ni wa kunitesa mimi! Nenda zako nenda zako, nishatulia Hello! Sasa yupo sasa yupo, anayeulea moyo! Chorus Naomba ujichunge, usibadilike ukawa kama Yule! (kama Yule) Baby naomba ujichunge, usibadilike ukawa kama Yuleee! Verse ya 2 Sasa unajua kwa nini, siwezi ondoka kwako! Ndo maana nimekula yamini! Tena nakula kiapo! Wewe ndio wa mwisho kupendwa na moyo wangu, Siitaji tena kupepesa macho yangu! Karibu hata mali mpenzi naomba uchunge, Vishawishi vya mali visiondoke nawe! Daily uwe furaha ya mimi! Nawe zaidi ya raha ya mimi! Daily uwe furaha ya mimi! Nawe zaidi ya raha ya mimi! Eeeooo! Eeeooo! Ooeeooo! Eeeooo! Uuuuleeeee! Chorus Naomba ujichunge, usibadilike ukawa kama Yule! (kama Yule) Baby naomba ujichunge, usibadilike ukawa kama Yuleeee!
Previous
Next Post »
Thanks for your comment