Ali Kiba &Christian Bella-Nagharamia lyrics

(bella) ukimwona ,kapendeza, si utafikiri katokea mbinguni, ni mtoto mkali,kaumbika mama, nahisi kama nishawahi kumuona, (kafanana na nani,kwani ni nani ii dem fulani,kama namjua)x2 kiba wewewe yeyeye e ,ie ali weyeye ,ie, kama namjua, kiba wewewe ,unamjua huyu dem, (di di di di )X2 deeeh iyeyeye (iye)x3 iyee iyeyeye , iyeyooh, iyeoooooh (kiba) namwona tu kasura kazuri,ni binti fulani eh, marashi mazuri na gari kali eeh, (ni kweli amependeza kama ni hurulaini, mimi ni dem wangu huyo, ninagharamiax2) bella wewewewe ooh ,we ni vipi wewewewe, ninagharamia, bella wewewewe unamjua huyu dem, (tiri didix2) (bella) Ololo nashindwa kuvumilia , huyu mtoto kanipagawisha, kila nikikutana naye , moyo wangu anadundadunda, nataka tu kujuana naye , awe kama rafiki wangu, labda moyo wangu atatulia tulii, (Kiba) bella siachi raha kwa ubishi, na mvumilivu hula mbivu , nimeshamaliza ng’ombe nzima, kabaki mkia huyo, Oh mama azali, azaliii, azali mwa si kitoko oh , meyifo balula ye , oya zali na bote naye, (bella)azali mwa si kitoko, oh balula ye (kiba) kuteka na ngai ye , mwasi na ngai, ye iye (bella) oye zali na mutema yeye (kiba)na lingio, lingio,mutema nga (bella)ngana sengi tobina mama (bella) katee, katee (kate), katika kata (kata) kate katee, (kiba) yako kata loketo mama (bella)yaka katika , yaka katika (kiba) yaka tobina mabina mboka, kiba) aaaah, mabina mboka, yako kata loketo, mama ah ahh iye iye iye (iye) iyeyoyo, iyooooooah
Previous
Next Post »
Thanks for your comment