Joh Makini - Don't Bother Lyrics ft. AKA

Joh Makini - Don't Bother Lyrics ft. AKA [Intro - Joh Makini] Don't bother Don't bother Don't bother (Nahreel On The Beat!) [Hook - Joh Makini & G Nako] Tabasamu juu ni meza ya ma-brother Don't bother Toto mbili tatu kutia ladha Don't bother Daraja mbili Ngarelo Daraja hili hawadandii masoro Don't bother Daraja mbili Ngarelo Daraja hili hawadandii masoro Don't bother [Verse 1 - Joh Makini] Atiii Nasikia kuna tuzo, mpo kwenye list? Nasikia mnabebwa kwenye ma-playlist Nasikia mna undugu na hawa journalist Na vipi kuhusu hizi beef za kule na huku? -Sijui kuhusu beef, chief, mi nafuga kuku Wapi? Nani? Lini? Who? When? Why? Who am I? maswali ki-spy Una Wi-Fi? -Wi-Fi sina, chief, mi niko na wife Unaandikiwa na Nikki? -Siijui hiyo kalamu, jomba, naandikia Bic Unatoa nyimbo nyingi -Sikumbuki kutoa nyimbo mi natoaga hit Eti Who am I? [Hook - Joh Makini & G Nako] Tabasamu juu ni meza ya ma-brother Don't bother Toto mbili tatu kutia ladha Don't bother Daraja mbili Ngarelo Daraja hili hawadandii masoro Don't bother Daraja mbili Ngarelo Daraja hili hawadandii masoro [Verse 2 - AKA] Wooosah! I tell 'em niggas don't bother I be in that east coast getting more zaga I be in the lane on my four-fivers In the class spend the rands on my gold bottles I'm with Joey on this track Tz make a star I be going hard Ain't it funny how these niggas used to hate? Now I'm triple 7 got ugali in my plate Bosi si kelele Mungu ibariki Spit the acappella, speed kusaka hela Keep it super mega Long way if I drop kutafuta hela Mbhega ta..ta..ta tava the combo J.H.P that's my strong hold (my strong hold) Don't bother! [Hook - Joh Makini & G Nako] Tabasamu juu ni meza ya ma-brother Don't bother Toto mbili tatu kutia ladha Don't bother Daraja mbili Ngarelo Daraja hili hawadandii masoro Don't bother Daraja mbili Ngarelo Daraja hili hawadandii masoro Don't bother [Verse 3 - Joh Makini & AKA] Silazi msingi pale shamba usikae kile Nanunua shamba heka na trektale Mchaga na mpare Mchungu na hela ndo jadi, you can't separate Check tarehe, ID uliobarehe Ulishakuwa mtu mzima tena huwezi ombale Watu watakusaga kama gombale R.I.P Larry Barehe Sinon Daraja Bee Kimya si we ni loser, get it? Unaleta gere ndo gere inazidi bamba Gere, we ni mbuzi utakula kwa urefu wa kamba Gere, tulizipanga Juu tulisanda, kutumia na kiringiringi Ni kukata ringi ringi Ili shilingi lingi ziwe mingi mingi Kwenye matumizi huna wala usiwe dingi dingi Mi natengeneza waleta mboyoyo mingi mingi Hoooool' up Kabugu de wenesi Play your position Don't get too comfortable with us Realest nigga is what I see in the mirror Business business, I'm getting bigger and bigger (Oh! Lord) [Hook - Joh Makini & G Nako] Tabasamu juu ni meza ya ma-brother Don't bother Toto mbili tatu kutia ladha Don't bother Daraja mbili Ngarelo Daraja hili hawadandii masoro Don't bother Daraja mbili Ngarelo Daraja hili hawadandii masoro Don't bother [Outro - AKA & Joh Makini] Stealing the show, we taking it from you (aya ya ya ya) Double the session, double the money (woozaah) She feeling my flow, I'm taking your honey (aya ya ya ya) What'd you thought?, you can't tell me nothing (Woozaah) Aaaah! Nahreel On The Beat, huh? -The Industry!
Previous
This is the oldest page
Thanks for your comment