Diamond Platnumz –Utanipenda Lyrics

Oh ghafla visenti sina nimerudi tandale
Nimeshindwa kulipa bima nimeuza madalee 

Radio nyimbo wamezima TV ndio hataree Umeneja umebaki jina hanitaki hata talee 

Oooh wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matamu
 Leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagramu 
Kimwana si dada angu eti naye hanifahamu Hata Harmonize nikimpigia ananifokea kama sallam 
Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga 
Utasikia tafarani eti Mondi kwa Zari amemwagwa 
Na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga 
Kama naiona michambo ya mademu wa zamani nilowapitiaga

Ooh nayosema yana maana sababu hakuna anayejua kesho 
Anayepanga ni rabana ila ameficha ni confidential Ukisali omba sana mumeo nisije kuwa kichekesho
 Maana rafiki wa jana ah ndio adui mkubwa kesho Lala lala lala laah 
je utanipendagaa Lala lala lala laah 
au nawe utanimwaga Lala lala lala laah
 eti utanipendagaa lala lala lala laah ooh

 Ooh bado naiwaza sana zile tuzo mashauzi airport 
Je itapofika tamaa utadiriki hata japo kunipost 
Pindi show zimekwama na nikipata sijazi ni mikosi 
Oh jahazi limezama mola ninusuru baba 

Kama namuona mwanangu roho yangu Tiffah Dangote
 Anakwenda na mama angu kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke 
Usiliye Sandra wangu mboni yangu jikaze usichoke 
Huenda kesho zamu yangu nitavuma tena mambo yanyoke

Eeh Na magazeti ya nyumbani kwa kukosa habari si unajuaga
 Utasikia tafarani eti Mondi kwa Zari amemwagwa
 Na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga 
Kama naiona michambo ya mademu wa zamani yaani kedekedeEeeeeeih! 
 Lala lala lala laah oh lala 
lala lala laah Lala lala lala laah 
oh lala lala lala lalaah 
Lala lala lala laah oh lala lilaa lala lala lala laah aisee 
Kama namuona mwanangu roho yangu Tiffah Dangote 
Anakwenda na mama angu kwa mkubwa Fella anafukuzwa atoke Usilie Sandra wangu mboni yangu jikaze usichoke 
Hueda kesho zamu yangu nitavuma tena mambo yanyoke hehe eee 


hey Oh lalalila oh baby Tudd Thomas Ah nayosema yana maana sababu hakuna anayejua kesho 
Anayepanga ni rabana ila ameficha ni confidential 
Ukisali omba sana mumeo nisije kuwa kichekesho Maana rafiki wa jana ndio adui mkubwa kesho Wasafiiiii
Previous
Next Post »
Thanks for your comment